MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA USHIRIKA WA 6 MWAKA 2024
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA CHAMA WA 6 WA MWAKA 2024
Wanachama wa Vyama vya Ushirka vya Msingi vinavyounda Chama Kikuu cha Ushirka cha Milambo Wilaya za Urambo na Kaliua mnataarifiwa kwamba kutakuwepo na Mkutano Mkuu wa chama wa 6 wa mwaka 2024 utakaofanyika tarehe 26/03/2024 siku ya Jumanne kuanzia saa mbili Asubuhi katika Ukumbi wa Romani Katoliki , wilaya ya Urambo.
AGENDA ZA MKUTANO MKUU
Kufungua Mkutano
Hotuba ya Mwenyekiti
Taarifa za Mapato na Matumizi
Mipango mkakati wa chama
Uchaguzi
Kufunga Mkutano
Tunakumbushwa kuzingatia muda na kushiriki kikamilifu katika mkutano.
Imetolewa na uongozi wa Milambo Co-operative Union Ltd.
Kupakua barua ya agenda za Mkutano Mkuu na tangazo la mkutano mkuu bofya hapo chini;