SEMINA YA MAFUNZO KWA MAKATIBU MENEJA NA WATUNZA STOO WA AMCOS
Chama Kikuu cha Ushirika Milambo kiliandaa semina ya mafunzo ya siku mbili kwa Makatibu Meneja wa AMCOS na Watunza Stoo, iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 10 katika Ukumbi wa ADC,…
Chama Kikuu cha Ushirika Milambo kiliandaa semina ya mafunzo ya siku mbili kwa Makatibu Meneja wa AMCOS na Watunza Stoo, iliyofanyika kuanzia tarehe 9 hadi 10 katika Ukumbi wa ADC,…
Mkutano muhimu wa watendaji wa Vyama vya Msingi (AMCOS) kutoka Wilaya ya Urambo na Kaliua umefanyika kwa lengo la kuimarisha utendaji, kuongeza uwajibikaji, na kujenga uelewa wa pamoja juu ya…
Milambo Cooperative Union Saccos Ltd inapenda kuwataarifu wanachama, wadau na umma kwa ujumla kuwa Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Milambo SACCOS umefanyika kwa mafanikio makubwa, sambamba na uzinduzi rasmi wa…
TANGAZO LA AJIRA MILAMBO 2025Download
Wajumbe wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika wa Korosho (KCJE LTD) wamefanya ziara ya mafunzo katika Chama Kikuu cha Ushirika MILAMBO, wilayani Urambo, mkoa wa Tabora. Lengo…
Ziara ya Mkurugenzi wa Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) Ndg. Samuel Mshote katika Ofisi za Chama Kikuu cha Ushirika MILAMBO Chama Kikuu cha Ushirika MILAMBO CU LTD kimepata heshima ya…
Mafunzo kwa Makatibu/Wahasibu Kuhusu Utaratibu Mpya wa Utoaji wa Ankara, Makisio na Mali Kupitia Mfumo wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (MUVU) Ofisi ya Mrajis Msaidizi wa Mkoa wa Tabora…
MRAJIS TAIFA ATEMBELEA BANDA LA MILAMBO KATIKA MAONYESHO YA NANENANE Katika kuendelea kutambua mchango wa vyama vya ushirika katika maendeleo ya kilimo na ustawi wa wakulima nchini, Mrajis wa Vyama…
Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama Kikuu cha Ushirika Milambo Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama Kikuu cha Ushirika MILAMBO ulifanyika tarehe 30/04/2025 na kuhudhuriwa na Mgeni rasmi, Mkuu wa…