ZIARA YA WAJUMBE WA BODI YA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MILAMBO KWA VYAMA WANACHAMA (AMCOS)
Wajumbe wa Bodi ya Chama Kikuu cha Ushirika MILAMBO wamefanya ziara maalum katika vyama wanachama kwa lengo la kusikiliza kero, maoni na mapendekezo ya wakulima. Ziara hiyo imelenga kuimarisha mawasiliano,…